Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
HII NI BALAAA!! Usikubali Kupitwa na hii OFA kabambe ya Viwanja KIGAMBONI KIMBIJI KWA MORIS kwa bei ya Laki tisa tu (900,000/=). 0711677199/0744847199.
Kwanini ununue viwanja maporini Kwa bei kubwa wakati kwetu Kigamboni utapata Kwa bei ya Laki tisa tu. Unanunua na kujenga Maana huduma zote zipo.
โก๏ธ Viwanja ni vizuri sana, ni flat na tayari Kuna majirani wenye nyumba za kisasa.
โก๏ธ UMEME umepita mbele ya mradi, Maji yapo, Eneo lipo karibu na huduma za kijamii mfano Shule , hospital, n.k
๐ Umbali ni Km 36 kutoka kigamboni ferry mpaka Site na Mita 800 kutoka Barabara kubwa ya Kimbiji-Ferry, na Km 2 toka BAHARINI.
____________________________
๐ BEI YAKE SASA NI =Tsh 900,000 TU. Kwa kiwanja chenye ukubwa wa Futi 50 X 40. Unaweza kuunganisha viwanja zaidi ya Viwili, vinne, sita na kuendelea Kulingana na mahitaji Yako.
____________________________
USAFIRI WA KUTOKA FERRY HADI KIMBIJI KWA MORIS ni gari moja tu. Tunaonyesha viwanja Kila siku, piga simu Kwa maelezo ZAIDI 0711677199/0744847199.
๐คKARIBUNI SANA KIGAMBONI.