Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Ofa Ofa Ofa..... Sasa Unaweza Kulipia Laki 1 Tu Kila Mwezi Mpaka Una Maliza Malipo Yako.
Viwanja Vipo Chaurembo Kigamboni, Barabara Ya Ferry - Buyuni
45km Toka Ferry, 2km Toka Kituo Cha Daladala
Bei Ni Kuanzia Milioni Tatu Tu ( Kiwanja cha sqm 500)
Kwenda Site Ni Bure, Kila Siku Za Jumatano, Ijumaa, Jumamosi Na Jumapili.
Wahi Sasa Tafadhali Wasiliana Nasi Kwa 0688 991 232