Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


VIWANJA VIWILI NAVIUZA KIGAMBONI
0767672719📱0713672729
Location mwasonga bei milioni 15 kila
Kiwanja vina ukubwa wa sqm 632 na 563
Vina hati miliki ya wizara (title deed)
Viwanja vyote vina angalia kiwanda
Cha madini na barabara kubwa ya mkamba


















