Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

BANGO LINAONGEA!!
Mwenye macho haambiwi tazama. Hii ni DAR ES SALAAM Wilaya ya Kigamboni Kata ya KIMBIJI mtaa wa kwa MORISI.

Bei ni Milion 1.3 (Milion Moja na laki tatu) Unakosaje Sasa kwa bei hii maana huwezi pata popote. Viwanja vipo mita 500 toka barabara kuu itokayo Mji Mwema kwenda Buyuni. Na Km 1.5 kwenda Baharini🌊. Km 35 tokea Kigamboni FERRY.

👉🏻Nguzo za Umeme zimezunguka mradi wote, Maji yapo (DASAWA) Majirani zako wapo tayari wanakusubiri wewe, Hospital, Shule zote zipo, kuna vitu vingiii sikumaliziii uje na wewe ujionee😅

✍️Kuna Viwanja vya Makazi na biashara na Ukubwa wa Kila kiwanja ni Futi 50 X 40 kwa Milion 1.3. Unaweza kuunga Viwanja viwili, vinne, sita na kuendelea. Viwanja ni tambarale, vizuri saaana.

Ukipanda gari Toka Ferry, ukishuka unaweza tembea au Pikipiki 1000. Jamani simu ziite
📞 0711677199 au 0744847199.

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 480,000,000

BIG HOUSE FOR SALE ATKIGAMBONI _____________________UKUBWA WA KIWANJA - SQM 650UMILIKI - HATI YA WI...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 100,000,000

Plot for Sale Location; KIGAMBONI AVIC TOWN Ukubwa Sqm 1600 Bei 100M Call; 0716279427

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

Lodge and Bar for Sale Location; KIGAMBONI DEGEUkubwa Sqm 1500HATI SAFIBei 150M maongezi yapoCall; 0...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 480,000,000

NYUMBA INAUNZWA “”INA VYUMBA VINNE “VYOTE MUSTER “ENEO SQMT 650””OFFER M 480”LOCATION KIGAMBONI KISO...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

NYUMBA YA VYUMBA 4,TSHS.75 MILIONI,KIGAMBONI-DARAJANI. Kiwanja SQM.400. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIA...

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

🏡 Kigamboni: New Prime 3-Bedroom House for Sale!Quick Sale! Spacious 5-bedroom house in Goba, locat...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

NUNUA ARDHI NA KAMPUNI YA PERFECT PROPERTY LTD.OFA ZETU BADO ZINAENDELEAMiradi yetu ya viwanja ipo ...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

Nyumba inauzwa kigamboni Mahali; Kigamboni#GezaBlock24Ilivyo;,, Ina vyukba vitatu vya kulala, kimoja...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 76,000,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA📍 Kigamboni – Kisarawe 2️⃣✨ Sifa za nyumba:➡️ Vyumba 3 vya kulala (Vyote...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 160,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni – Kisota ---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m) ina...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 290,000,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA📍 Kigamboni – Dege✨ Sifa za nyumba:➡️ Vyumba 3 vya kulala (Viwili Master...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Kisiwani 🏡✨ Vyumba 3 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubwa ...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 290,000,000

📍NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI MWONGOZO 📍NYUMBA INAVYUMBA 3, VYOTE MASTAR ,SEBULE, Nk…📍NYUMBA INAUKU...

4 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 190,000,000

📍NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI FANCITY 📍NYUMBA INAVYUMBA 4, VYOTE MASTAR ,SEBULE, Nk…📍NYUMBA INAUKUB...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 280,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani barabarani<> nyumba ina chumba kimoja master seb...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina vyumba vitatu kimoja Master sebule...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location maweni <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule d...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI <> location geza juu<> nyumba ina vyumba vitatu vya kulala viwili ni master...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 5,200,000

CHIMBO LA BEI CHEEKaribuni Viwanja VILIVYOPIMWA. (SURVEYED PLOTS)📍location :👉 #KIGAMBONI , #MWASON...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 40,000

MRADI MPYA - KIGAMBONI RAS BAMBA ECO LODGE (BEACH PLOTS)📞📞0767053517 ◻️Umbali ni km 17 toka ferry◻...