Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
VIWANJA VYA KARIBU NA BAHARI (BEACH PLOTS ) VINAUZWA;
LOCATION : KIGAMBONI MBUTU, BANDARINI
Mradi ni mzuri sana.
๐Mradi upo Mita 200 kutoka baharini
๐Kilomita 3.5 kutoka Barabara kuu (Dege Maghorofani).
๐Kilomita 24 kutoka ferry
๐Mradi umeshapimwa na ramani ipo APPROVED na Wizara ya Ardhi
โ
๏ธSqm 1 ni Tsh 30,000/=
Mfano sqm 940 ร 30,000 = Tsh 28,200,000/=
โ
๏ธUnaweza kulipa cash au kidogo kidogo ( Kwa Installment) ila utaanza na Asilimia 50% alafu inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu (3).
Njoo Uchague ukubwa unaotaka alafu zidisha mara Tsh 30,000
Kuna.
Ukubwa. Bei
๐Sqm 940 ร 30,000 = Tsh 28,200,000/=
๐Sqm 1,794 ร 30,000 = Tsh 53,820,000/=
๐Sqm 951 ร 30,000 = Tsh 28,530,000/=
๐Sqm 1309 ร 30,000 = Tsh 39,270,000/=
๐Sqm 1540 ร 30,000 = Tsh 46,200,000/=
KARIBUNI ONEROOF REAL ESTATE COMPANY LIMITED TUWAHUDUMIE
Call/ Whatsapp
0653988825
๐ข " YOUR NEXT HOME IS HERE "