Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


.
Pata kiwanja bora cha makazi KIGAMBONI MWONGOZO,
viwanja vipo km14 tu kutoka ferry na KM2.5 tu kutoka barabara ya lami.
Viwanja vipo kuanzia sqm500 hadi sqm800.
Malipo ni CASH au unaweza kulipa kidogo kidogo (INSTALLMENT)
Bei ya Sqm1 ni 18,000malipo ya CASH na 20,000 malipo ya awamu,pamoja na hati miliki.
Kutembelea miradi ni siku yoyote na muda wowote na ni bure kabisa.
.
๐ฑWasiliana Nasi: 0753311817, 0621354769
๐Ofisi zetu zinapatikana Mkulima House, 5th Floor, Room 513, Mabibo Mkabala na Mabibo Hostel Stand Via Mandela Road
#GreenlandRealEstate #TheFutureIsHere