Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
Kiwanja karibu na Beach kinauzwa kipo kigamboni kimbiji
Ukubwa Wa kiwanja ni sqm 742
Umbali: 36km kutoka ferry mpaka site
800 mitre kutoka main road
400 kutoka site mpaka baharini ⛱️
Bei: sqm1 sh 25,000 Kwa cash
: sqm1 sh 30,000 Kwa mkopo
Bei kamili: Kwa cash ni sh: mili 18,550,000
Mkopo ni miezi18 utaanza na sh 4,452,000 itakayobaki utalipa kidogokidogo kwa miezi18
Mradi uko karibu na huduma za kijamii
Mawasiliano: 0717_221937