Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


*FURSA ZA VIWANJA VIZURI MUONGOZO-KIGAMBONI*
Karibu VIWANJA TANZANIA ujipatie viwanja vizuri vilivyopimwa vilivyopo Kigamboni, Muongozo eneo la Malimbika. Vipo 19km kutoka mjini na karibu sana na barabara kuu ya lami. Maeneo ya jirani yameishaendelezwa kwa ujenzi wa nyumba nzuri na za kisasa.
Huduma za jamii zikiwemo umeme, barabara, shule, nyumba za ibada na ulinzi zinapatikana.
• Bei ni kuanzia Tzs 17,00,000
• Malipo ni kwa awamu mpaka miezi 12.
Bonyeza hii link kuona mahali viwanja vilipo
6°54'33.3"S 39°25'52.5"E
https://goo.gl/maps/i7Gr2qNoFiNarH5Q8
*WAHI KABLA HUJACHELEWA
VIWANJA TANZANIA NI SUPERMARKET YA VIWANJA*
Tunapatikana mjini, mtaa wa Ohio, nyumba ya Maarifa. Simu 0677 303 344 / 0767 711 120 / 0744 444 509. Au tembelea tovuti yetu www.viwanjatanzania.co.tz/plots/115 kuona fursa za viwanja zaidi.