Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


KARIBU TUKUUZIE VIWANJA VILIVYOPO KIGAMBONI MWONGOZO KWA BEI YA MILIONI 7.5 TU.
♦️Ukubwa wa viwanja vinaanzia mita 20*20 Sawa na sqm 400 ni vikubwa mpaka sqm 1000
♦️ Malipo ni ya cash pia kwa hawamu mbili
♦️Umbali kutoka Mwongozo centre ni kilomita 2
♦️ umbali kutoka ferry ni kilomita 18
♦️ Usafiri kutoka ferry mpaka mwongozo ni gari moja tu nauli sh 800 hakuna foleni
♦️ Nipigie cm twende site 0746416326