Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Miliki kiwanja chako leo Kigamboni karibu na Dar es salaam Zoo.
Mradi mpya kabisa viwanja vimepimwa na vinatambuliwa na Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo ya jamii.
Sifa za mradi huu:-
๐ Viwanja vimepimwa
๐ Huduma zote za kijamii zipo
๐ Bei ya Sqm 1 ni elfu 22,500/=(kwa sqm 1)
๐ umbali kutoka Ferry ni 17Km na kutoka Darajani ni 15Km
Note:Unapo nunua kiwanja kwetu umehepuka migororo ya ardhi sisi ni majasiri na ujasiri wetu ni Ardhi!
Ofisi zetu zipo Kigamboni Kijaruba (Opposite na shule ya msingi ya Maweni)
Kwa mawasiliano: 0750 177 085
#kiwanja #daresalaam #kigamboni #zoo #viwanjakigamboni #viwanja #jasirilandcompany