Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


🔥🔥 MRADI WA VIWANJA – KIGAMBONI VUMILIA UKOONI (MWEMBEMDOGO) 🔥🔥
📍 Viwanja vimepimwa rasmi na vina mawe ya utambuzi kutoka Wizara ya Ardhi ✔️
📍 Umbali wa Km 2 tu kutoka barabara kubwa ya Mwembemdogo (chini ya TARURA) iliyo kwenye mpango wa lami 🚧
📍 Good neighbourhood – Majirani ni wafanyakazi wa TPA, eneo tulivu na la hadhi (mji wa kishua) 🏘️
📍 Karibu na:
• 🏥 City College of Health – Kigamboni
• 🏫 Shule ya Sekondari Ihsan
📍 Huduma zote za kijamii zinapatikana.
💧 Maji ya kisima ni baridi sana na hayana chumvi kabisa ❄️
💰 Bei Elekezi kwa SQM:
• Cash: 18,000/=
• Installment: 20,000/=
📐 Ukubwa wa kiwanja: Kuanzia 400 SQM
🚗 Site visit ni BURE kabisa – KILA SIKU
📄 Hatimiliki ni uhakika na hupatikana kwa haraka
🏢 Ofisi zetu:
Mwenge – Bamaga, Dora Tower, Ghorofa ya 4
📞 Wasiliana nasi: 0768 579 000



















