Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

OFA YETU BADO INAENDELEA.
Jipatie Kiwanja KIGAMBONI DEGE KICHANGANI Center!!
Kwa Bei ya Milion 3.5 na Kuendelea. Viwanja viko Upande wa BAHARI, Mita 900 kufika baharini. Pia ni Karibu na Hotel kubwa ya kitalii ya Aya Sophia Villa Kwa wale wanaopenda mazingira tulivu na kuenjoy na familia hapa panawafaa sana!!

๐Ÿ‘‰Ni pazuriiii sana, watu wamejenga mijengo ya maana, Upepo Kama wote, Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali & private) Vituo vya Afya, Nyumba za Ibada (Misikiti & Makanisa) Kumbi za starehe (Wazee wa Bia tamu๐Ÿ˜œ) Vifaa vya ujenzi hapo hapo maana ni Center.

โ˜‘๏ธSqm 1 Tunauza 17500 !! Ukubwa unaanzia Sqm 208 kwa bei ya Milion 3.5 tu(Vimebaki 4) Vingine ni Sqm 400, 500, 800 mpaka 2000. Ukichukua zaidi ya Sqm 800 utapata punguzo la bei. Usafiri wa kutoka Ferry upo muda wote, Tsh 700 mpaka Dege. Hapo Dege kuna usafiri wa Bajaji ๐Ÿ›บ mpaka kwenye mradi wetu kabisa.

๐ŸคNi sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi wako. Wote mnakaribishwa.

๐Ÿ“ž0711677199/0744847199 Kwa Kutufikia. Omba ramani, Chagua Kiwanja Chako, tembelea mradi wetu, tupo kila siku, kuanzia Saa 3 asubuh mpaka 11 Jioni. Hakuna gharama yoyote ya kuonyeshwa mradi.

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

1 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

๐Ÿ‘‰๐Ÿพ๐Ÿ‘‰๐ŸพBEACH โ›ฑ๏ธ HOUSE FOR SALE AT KIGAMBONI ๐Ÿ‘‰๐ŸพOne storey Beach House for sale at Kigamboni, Magog...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

HOUSE FOR SALE /NYUMBAINAUZWA KIGAMBONILOCATION: MJI NWEMA KIBUGUMO , KIGAMBONI*VYUMBA VITATU SEBULE...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

#kigamboni #house for sale vyumba 13Sqm:600Bei=300m. Mita=100 rami. โ˜Ž๏ธ0686 705 903 dalali_kigamboni...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

๐Ÿ“ Viwanja Vinauzwa kigamboni geza block 15๐Ÿ“Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni ๐Ÿ“Napia ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

PLOT FOR SALE LOCATION KIGAMBONI KIBADA BLOCK 18DAR ES SALAAM TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ASKING PRICE MIL 130 SIZ...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 700,000,000

#NYUMBA ๐Ÿ  I N A U Z W A LOCATION KIGAMBONI KISOTA. #UKALI__Bado__mpyaa. NYUMBA NZURI SANA YA KISASA...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 7,650,000

Ruby city (Bohari Kigamboni)- Mita 200 kutoka barabara kuu - Bei kwa sqm 20,000/= miezi 18 (17,000/=...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, DARAJANI ใ€‹Nyumba ina VYUMBA VITATU KI...

2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

HOUSE FOR SALE LOCATION KIGAMBONI KIBADA FULL SHANGWE DAR ES SALAAM TZ BEI MILIONI 130 NEGOTIABLE KI...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 65,000,000

#viwanja #kigamboni plot for sale Sqm:600=Hati ya wizara. Bei=65m. โ˜Ž๏ธ0686 705 903 dalali_kigamboni...

House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA __VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTER SITING DINING JIKO PUBLIC TOIL...

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 67,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __INA VYUMBA V 5 VYAKULALA VYOTE MASTER SITING DINING JIK...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, KIBADA ใ€‹Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT ZINAPANGISHWA MPYA ZIPO 4 TU JUU NACHINI SIFA ZAKE CHUMBA MASTER BEDROOM SITING ROOM NAJI...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, DARAJANI ใ€‹Nyumba ina VYUMBA VIWILI KIMOJ...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, KIBADA ใ€‹Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, DARAJANI ใ€‹Nyumba ina VYUMBA VIWILI KI...

1 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

*One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni*-It has six bedrooms all en-suite, sitting r...

1 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

*One storey Beach House for sale at Kigamboni, Magogoni*-It has six bedrooms all en-suite, sitting r...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 17,000 per day

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517๐Ÿ‘‰๐ŸฝViwanja vimepimwa na vina bacon zi...