Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


#GEZA ULOLE #KIGAMBONI #THIS PROJECT WAS FIRE🔥🔥💯
✅MRADI HUU WA VIWANJA NI MPYA HIVYO UKIWAHI UTAPATA VIWANJA VYA MBELE ( CORNER PLOT ) 
👉# RESIDENTIAL  SURVEYED PLOTS FOR SALE 
📍Location : GEZA ULOLE KIGAMBONI ()👇👇 
 
👉Mradi huu wa viwanja vilivyopimwa  upo kigamboni geza ulole (halimashauri )
 》upo umbali wa km 14 kutoka kigamboni ferry (kivukoni)
》Na,  km 13  kutoka Nyerere Bridge, (darajani )
》 pia vipo umbali wa mita chache kutoka barabara ya TARURA 
 
■umeme upo, maji na barabara zimechongwa zenye upana wa mita 15-20 
■Eneo liko karibu na huduma zote za kijamii kama maji , umeme , shule , hospital , bar (bia tamu😋) etc
■BEI NI 
SQM 1 = 30,000Tsh cash pia
SQM 1 = 30,000Tsh installment ukianza na 50% 
◇UKUBWA WA VIWANJA UNAANZIA SQM 400 - 2000
SQM 400 ( Mita 20 kwa 20 ) =  12M
SQM 500 ( Mita 25 kwa 20 ) = 15M
SQM 600 (mita 30 kwa 20 ) =  18M
SQM 700 (mita 35 kwa 20 ) =  21M
SQM 800 (mita  40 kwa 20 ) = 24M
Sqm  1000 (mita 40 kwa 25) = 30M
 Unaruhusiwa kuchukua hata SQM 1000, 2000, na kuendelea
DOCUMENT : CLEAN TITLE DEED✅
👉VIWANJA HIV NI MALI YA KAMPUNI HIVYO HAMNA GHARAMA YOYOTE YA UDALALI UTATOZWA❌
 
■SITE VIST NI KILA SIKU KUANZIA SAA 2 HAD SAA 11 JION PIA WEEEKEND TUPO WAZ 
 
FOR MORE INFORMATION
CALL 👉 #0654319483
WHATSUPP 👉 #0654319483
.




















