Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
🔥🔥MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO🔥🔥
👉🏽Viwanja vimepimwa na vina MAWE yanayotambulika na wizara ya ardhi
👉🏽2 Km toka Barabara kubwa ya mwembemdogo iliyo chini ya Tarura iliyo kwenye mpango wa Lami.
👉🏽Good neighbourhood (majirani watu wa bandari TPA), kiufupi ni mji wa kishua.
👉🏽Karibu na Chuo cha Afya Kigamboni (City College of Health)
👉🏽Karibu na Shule ya Sekondari Ihsan
👉🏽Huduma za kijamii zipo,uzuri ni kwamba hapa ukichimba kisima maji ni ya baridiiiiiiiiiii hakuna chumvi kabisa.
👉🏽Bei elekezi hapa tumesusa kwa Sqm ;-
Malipo ya cash: 15,000/=
Malipo ya installment :17,000/=
👉🏽Ukubwa kuanzia 400 SQM
👉🏽Site visit ni bureeee kabisa na ni kila siku .
👉🏽Uzuri ni kwamba kwetu sisi Hatimiliki ni uhakika na kwa haraka.
TUNAPATIKANA MWENGE-BAMAGA JENGO LA DORA TOWER 4th FLOOR
AU TUPIGIE KWA NAMBA 0768579000