Plots for sale at Kiluvya, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 1,000,000
Project
Yes

VIWANJA VINAUZWA Kiluvya Kwa Masister! Bei kuanzia 11,500/= Hadi 15,000/= Kwa square meter!

Kianzio: 1,000,000/=
Maeneo yamejengeka kama unavyoona kwenye picha! Yani Kuna Makazi ya watu very serious,wanaojitambua na wamejenga nyumba nzuri! Kikubwa ukifika Kiluvya ulizia Cananland Marketing Solutions,sisi ndio Suluhisho lako ili uweze kupata Ardhi ya uhakika.

Usiogope kufika site hata kama hujajipanga kulipa,kufika kwako site ndio mwanzo wa kuanza kufikiria kutafuta pesa,Kwa Nchi yenye Fursa ya kumiliki Ardhi kama Tanzania usikubali kuwa wa Mwisho,usikubali kisindikiza wengine,hata wewe unaweza kubadili maisha yako!

Miliki Kiwanja kilichopimwa na Cananland Marketing Solutions.... Sisi tupo na wewe bega Kwa bega,mpaka umiliki Kiwanja Chako mapema na Haraka Zaidi.

Ofisini kwetu ni Kiluvya Madukani karibu na CHAWAKIMU. Ofisi inatizamana na Round about upande wa kushoto kama unatokea Dar es Salaam na upande wa kulia kama unatokea Kibaha

Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814
0759 461 893

Cananland Marketing Solutions
dar_kubwa_remmysbrand
Cananland Marketing Solutions

Similar items by location

Plots for sale at Kiluvya, Pwani
  • Project

Sh. 280,000 per month

Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Kiluvya Makurunge Fedha Sekondary School shilingi 3,800,000/= ukubwa k...

Plots for sale at Kiluvya, Pwani
  • Project

Sh. 6,000,000

OFA KUBWA YA MWISHO!!! VIWANJA VILIVYOPIMWA KILUVYA!!Tunamalizia mradi wetu wa Kiluvya!!Kumejengeka,...

Plots for sale at Kiluvya, Pwani
  • Project

Sh. 3,000,000

Viwanja vipo kiluvya Majumba sita,,Ukubwa wake ni 20*20 = 400sqmBei kuanzia mil 3 mpaka mil 6Usafiri...

Plots for sale at Kiluvya, Pwani
  • Project

Sh. 3,000,000

Viwanja vinauzwa,Kiluvya majumba sita,20*20 = 400sqmBei kuanzia mil 3 mpaka mil 6.Mawasiliano,,06790...

3 Bedrooms House for Rent at Kiluvya, Pwani

Sh. 350,000

NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 350k/= X 6 💥 NYUMBA ...

3 Bedrooms House for Rent at Kiluvya, Pwani

Sh. 350,000

NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 350k/= X 6 💥 NYUMBA ...

House/Apartment for Rent at Kiluvya, Pwani

Sh. 150,000

APARTMENT INAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #150kChumba cha kulala sebule jiko la kisasa na public toil...

Plots for sale at Kiluvya, Pwani
  • Project

Sh. 7,000,000

NAWALETEA MRADI WA VIWANJA kiluvya Madukani MakurungeVIWANJA NI VIZURI SANA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ...

1 Bedrooms House for Rent at Kiluvya, Pwani

Sh. 70,000

0679 997610 CHUMBA KIMOJA KINAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #70kChumba kikubwa kipya choo pembeni cha ...

1 Bedrooms House for Rent at Kiluvya, Pwani

Sh. 70,000

CHUMBA KIMOJA KINAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #70kChumba kikubwa kipya choo pembeni cha kwako mwenye...

1 Bedrooms House for Rent at Kiluvya, Pwani

Sh. 70,000

CHUMBA KIMOJA KINAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #70kChumba kikubwa kipya choo pembeni cha kwako mwenye...

House for sale at Kiluvya, Pwani
  • Project

Sh. 25,000

ENEO LENYE PAGALE NA NYUMBA LINAUZWA KILUVYA KWA KOMBA Ukubwa wa eneo sqm 3000 limezungushiwa fence ...

Plots for sale at Kiluvya, Pwani
  • Project

Sh. 8,500,000

VIWANJA VIZURIII SANA VINAUZWA BEI YA KUTUPA NDUGUU WATEJA WANGUUVIPO VIWANJA KUMI MABOSI ZANGUUUKUB...

Plots for sale at Kiluvya, Pwani
  • Project

Sh. 5,500,000

VIWANJA VIZURII SANA VINAUZWA BEI YA KUTUPA WATEJA ZANGUULOCATION:KILUVYA MADUKANI(MJI MPYA)UKUBWA W...

Plots for sale at Kiluvya, Pwani
  • Project

Sh. 7,500,000

VIWANJA VIZURI KABISA VINAUZWA BEI YA KUTUPA NGUGU WATEJA ZANGUULOCATION:KILUVYA MADUKANI(MJI MPYA)U...

3 Bedrooms House for sale at Kiluvya, Pwani

Sh. 35,000,000

NYUMBA INAUZWA BEI MILLION 35 FIXED IPO KILUVYA GOGONIINA VYUMBA VITATU VYA KULALA,KIMOJA MASTER,P...

House for Rent at Kiluvya, Pwani

Sh. 150,000

APARTMENT 3 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA ...

House for Rent at Kiluvya, Pwani

Sh. 150,000

APARTMENT 3 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA ...

House for Rent at Kiluvya, Pwani

Sh. 150,000

APARTMENT 3 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA ...

Plots for sale at Kiluvya, Pwani
  • Project

Sh. 4,000,000

Viwanja kiluvya Bei sqm moja 12000 TuUmbali km 8 Malipo kidogo kidogoKwa maana kiwanja cha 20kwa20Ni...