Plots for sale at Kiluvya, Pwani


Ahsante djallybi Kwa Kutuamini Nakununua Kiwanja Kupitia Kampuni Yetu
Hapa Ni Kiluvya Kwa Masista ( Chuo Cha Masista) Ambapo Unaweza Kujipatia Kiwanja Kwa Kianzio Cha Tsh Million 1 Tu Na Iliyobaki Unalipa Taratibu Taratibu.
Mpaka Sasa Tuna Shuhuda Za Wateja Wengi Waliofanikiwa Kununua Viwanja Kupitia Sisi Akiwemo djallybi
Kama Unatamani Kutimiza Ndoto Yako Kabla Mwaka Haujaisha Au Mwanzoni Mwa Mwaka 2025 Sisi Ndio Kampuni Sahihi La Wewe Kuchukua Kiwanja Cha Uhakika Na Tutakupa Taratibu Zakupata Hati Yako.
Mawasiliano +255 763172814