Plots for sale at Kimara, Dar Es Salaam


โโ
KIWANJA ๐ฅ KIWANJA ๐ฅ KIZURI SANA KIKUBWA SANA
KINAUZWA KIMARA TEMBONI ( SARANGA)
๐ฅ SIFA ZA KIWANJA:>>
#MBELE YA KIWANJA HIKI KIMEJENGWA FREM (8) ZA BIASHARA/ UNFINISHED
# KIPO SEHEMU NZURI
#KINAFAA KUJENGWA NYUMBA KUBWA YA KUISHI KIFAMILIA, AU NYUMBA ZA BIASHARA (APARTMENTโS)
UKUBWA WA ENEO NI SQUARE METERS 4550.
๐ฅBEI MILION 110 #MAONGEZI YAPO
KIWANJA HIKI KIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA HIKI NI KM 2.
USAFIRI<<>>>
BAJAJI. TSH700/= PIKI PIKI. TSH1000/=
NA ENEO HILI LIPO PEMBEZONI MWA BARA BARA INAYOENDELEA KUJENGWA KIWANGO CHA LAMI.
NDANI YA ENEO HILO, KUNA VIWANJA VIWILI TAYARI VINA HATI SAFI KUTOKA WIZARANI (CLEAR TITLE DEED) NA UPANDE MWINGINE BADO HATI ZAKE HAZIJATOKA๐๏ธ
Kupelekwa saiti elfu ishilini
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja