Plots for sale at Kimara, Dar Es Salaam


VINAUZWA VIWANJA KIMARA – KOROGWE, MAENEO YA KILUNGULE
Tunauza viwanja vitatu vinavyopatikana sehemu moja, umbali wa 1 km kutoka Morogoro Road, eneo la Kilungule, Korogwe.
Maelezo ya viwanja:
Kiasi cha eneo Bei kwa Sqm Jumla ya bei
441 sqm TSH 80,000 TSH 35,280,000
402 sqm TSH 80,000 TSH 32,160,000
402 sqm TSH 80,000 TSH 32,160,000
Mfano wa hesabu: Sqm 402 × 80,000 = TSH 32,160,000
Madhubuti:
Viwanja vyote vinauzwa kwa square meter.
Tunapokea malipo kwa awamu – njoo tukubaliane.
Eneo ni linalokua haraka, linalofaa kwa nyumba za makazi, biashara au uwekezaji.
Upatikanaji wa barabara, umeme, na maji upo karibu.
💵 Service charge: TSH 30,000 (kwa kwenda kuona eneo)
📞 Wasiliana nasi sasa: 0627 977 383