Plots for sale at Kimbiji, Dar Es Salaam


🔥 MRADI WA VIWANJA – KIMBIJI PUNA, KIGAMBONI 🔥
Fursa adimu ya kumiliki kiwanja chenye HATI kwa bei nafuu!
Je, una ndoto ya kumiliki ardhi eneo lenye maendeleo makubwa? Huu ndio wakati sahihi 🔑
🌟 FAIDA ZA MRADI
✅ Umbali wa KM 30 tu kutoka Ferry
✅ Viwanja vimepimwa na vina Survey Approval
✅ Barabara nzuri, zinapitika mwaka mzima
✅ Huduma muhimu karibu:
• ⚡ Umeme
• 💧 Maji
• 🏫 Shule
• 🏥 Hospitali na huduma nyingine za kijamii
💰 BEI NA MFUMO WA MALIPO
💎 Cash: Tsh 9,500/= kwa sqm
💎 Kwa Awamu: Tsh 12,000/= kwa sqm
📆 Muda wa kulipa: Hadi miezi 18
💵 Malipo ya kuanzia: Tsh 500,000/= tu
(Unaweza kuweka zaidi kulingana na uwezo wako)
📍 MAHALI TULIPO
Mwenge – Bamaga, Dora Tower, Ghorofa ya 4
📞 WASILIANA NASI SASA
☎️ 0768 579 000
☎️ 0626 783 900
📲 Simu na WhatsApp zinapatikana

















