Plots for sale at Kurasini, Dar Es Salaam
Alright guys property available at kurasini!!!!
■ukubwa ni sqm 8000(heka 2),hati ya wizara
■touch down the main road
■only 200 mitas from the port(bandarini)
■ni eneo ambalo ndani yake kuna godawn kubwa tu lenye ukubwa wa sqm 1500,kuna yard kubwa ya magari makubwa(trucks)
■nyumba za makazi,lina frame zisizopungua 12 ,Bara Bara ya mbe na nyuma,
■asked price ni 8Billion(8,000,000,000)
■ur real estate agent Dalali_mwarabu_tz
#viwanjadar #viwanja #realestate #realestateagent #realeststeinvestor #propertyforsale #propertymanagement #propertyinvestment #viral #trending #trendingreels #reels