Plots for sale at Mabwepande, Dar Es Salaam


Eneo linauzwa Mabwepande Barabarani, Ukubwa ni Ekari 4.4 lenye hati ya Matumizi ya shule ila Unaweza badilisha Matumizi. Umbali wa eneo ni 2.4Km toka Barabara ya Bunju na Linagusa barabara kuu Mabwepande. Linafaa kugawa viwanja vya makazi, kiwanda, store, business park, estate etc. Bei ni rafiki kabisa TZS. 550M na Mazungumzo yapo. Hati IPO..... Chat WhatsApp and Call +255625945113