Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam


UMEKUWA NA NDOTO YA KUJENGA NYUMBA KWA AJILI KUPANGISHA?
KWA KUZINGATIA VIGEZO TAJWA, TUMEKUSOGEZEA FURSA KWA KUKUTAFUTIA ENEO AMBALO UTAWEZA KUTEKELEZA MRADI
Kwa kuzingatia Vigezo tajwa, Tumekusogezea Fursa Kwa wewe Mwekezaji, Kwa kukutafutia Viwanja Vizuri ambavyo unaweza kujenga kwa ajiri ya mradi (KUPANGISHA).
BEI YA KIWANJA (SQM 400) - 26,500,000/=
(VIWANJA VIPO VICHACHE)
ENEO LA KIWANJA: MADALE POLISI
(MITA 800 KUTOKA BARABARA YA LAMI)
SIFA ZA VIWANJA HIVI
✅VIMEPIMWA
✅HATI MILIKI
✅ MAZINGIRA MAZURI
✅ HUDUMA MUHIMU
Tupigie simu : 0675-200 300 au 0789-100 100
.............................
vijana_realestate
Tembelea Ofisi zetu: TEGETA AZANIA CHIEF HOUSE, Ghorofa ya kwanza.
#vijana #vijanarealestate #estate #viwanja #ofaofa