Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000
Project
Yes

MADALE MIVUMONI - eneo tambalale kabisa

■■ Viwanja vipo jirani kabisa na barabara kuu ya kutoka Goba kuelekea Madale.

■■ Hapa tumepima viwanja 20 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa mita chache unaingia ndani kwako hapo hapo.

■■ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri.

■■ Viwanja vipo sehemu ambayo kwenda katikati ya mji ni mwendo wa dakika kadhaa tu.

■■ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

BEI ZA VIWANJA NA UKUBWA WAKE

Bei hapa ni 80,000Tsh kwa sqm 1 ya mraba na malipo yake ni CASH . Katika suala la bei maongezi yapo kidogo.NJOO OFISINI

Viwanja vya hapa vina ukubwa kuanzia sqm 600[upana 20mita × urefu 30mita] mpaka sqm 1500[upana inakuwa 30mita x urefu 50mita].

Inamaana hapa viwanja vimeanzia milioni 40 mpaka milioni 120 kutokana na ukubwa unaotaka wewe mnunuaji tu.

UMBALI WA PROJECT YA VIWANJA

1km kutoka Madale centre na 1km kutoka madale road(Barabara ya Lami, ingawa barabara ya kwenda eneo la project ni kubwa (30mita) na inafikika katika kipindi chote cha mwaka iwe masika iwe jua

Nauli kutoka Mbezi Magufuli Stand au Tegeta mpaka Madale ni sh. 500 tu kwa daladala na kutoka barabara ya Lami kwenda site hata kwa miguu unaenda vizuri kabisa mana ni karibu.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI #0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na ndio wamiliki wa mradi.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 82,000,000

...PLOT NZURI MNO INAUZWA/0788036643📌LOCATION: MADALE ROAD✍️UKUBWA: 800 SQM📌BEI: 82M✍️DOCUMENT: ...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

Kiwanja kizuri sana kinauzwa:Ukubwa-sqm 900Kimepimwa bado Hati Bei-ml 38 maongezi Location- madale m...

Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 119,000,000

KIWANJA CLASSIC KINAUZWA,Madale, mita 200 na lami,Kona plot,viwanja vimepimwa tayari,maji na umeme ...

House for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#CHUMBA SEBULE JIKOO CHOO#LAKI 400,000Malipo miezi 3Kwamwezi Full AC/itar Maji motoo Location Madale...

Plots for sale at Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 541,000,000

PLOT FOR SALE MADALE MIVUMONI Viwanja Vimepimwa unaweza lipa kwa awamu What's up kwa ajili ya mchoro...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 850,000

🏡✨ APARTMENTS MPYA ZA KISASA – ZINAPANGISHWA!📍 Location: Madale – Mita 400 tu kutoka Lami 🛣️💰 Be...

House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION #MADALE DAR ES SALAAM Tz 🇹🇿 KODI LAKI, 400,000/= KWA MWEZI X 6Ina ...

House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION #MADALE DAR ES SALAAM Tz 🇹🇿 KODI LAKI, 400,000/= KWA MWEZI X 6Ina ...

4 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

Nyumba mpya kali sana zinapangishwa:Ni stand alone 4 bedroom Dirning sitting jiko stoo public toilet...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 850,000

🏢 2-Bedroom Apartment for Rent – Madale Contena📍 Location: Madale Contena (only 5 minutes’ walk to...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 50,000

...A VERY BEUTFUL & MOST PRIME BUSNESS PLOT FOR SALE//0745559598INAUZWA BEI YA MAOKOTO🥳🥳🥳 ✍️HII N...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 155,000,000

AMAZING PLOT INAUZWALOCATED MADALEBEI MILLION 155PLOT SIZE 1,400 SQMSIFA.TAMBALALEMAJIRANI WAWILI WA...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 58,000,000

SQM 800 IMEPIMWA, BEI 58M, MAONGEZI YAPO,Madale,tambalale kabisa,maji na umeme vipo,kimepimwa taya...

3 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

STANDALONE INAPANGISHWA:Location :: MADALE MIVUMONIBei yake ::1,500,000 Tsh Kwa MweziMuundo wa nyumb...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 68,000,000

🏡 KIWANJA KINAUZWA – MADALE MIVUMONI📏 Ukubwa: 500 sqm💰 Bei: Milioni 68 (maongezi yapo)✨ Mtaa mzur...

Plot for sale at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

Plots for sale mil 160SQM 1800MADALE

2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 600,000

🏡 House for Rent – Madale📍 Location: Madale (Just 5 minutes from the main road)🛏 Bedrooms • 2 Bed...

House for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 200,000,000

🌟🏗️ KIWANJA CHA KONA PLOT KINAUZWA – FURSA YA UWEKEZAJI & MAKAZI 🏗️🌟📍 Mahali: Madale Mivumoni –...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;💧Location :: MADALE CENTER - KARIBU NA LAMI 💧Bei :: 600,000Tsh kwa Mw...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;💧Location :: MADALE CENTER - KARIBU NA LAMI 💧Bei :: 600,000Tsh kwa Mw...