Plots for sale at Makorongo, Dodoma


*NGHONGONHA RING ROAD HOT CAKE PLOT FOR YOUR FUTURE INVESTMENT*
👉NAUZA VIWANJA VIWILI SEHEMU MOJA
👉UKUBWA 805SQM
(BEI 5.5ML)
👉UKUBWA 1610SQM
(BEI 11ML)
👉VIWANJA VIMEPIMWA
👉FULL DOCOMENT
*? VIZURI SANA KWA SABABU*
đź“Ť12km kutoka dodoma mjini
đź“ŤVipo Karibu na taasisi kubwa kama(Benjamin mkapa hospital,chuo Kikuyu Cha dodoma(udom).
đź“Ťvipo Karibu na ring road meter (80Mt) tu
đź“Ťvipo Karibu na barabara kuu ya ngongonha kwenda mvumi(50Mt)
đź“Ťvipo Karibu na ngongonha senta
đź“Ťvipo Karibu na project kubwa ya viwanja vya Luico
đź“Ťvipo Karibu na huduma za kijamii(maji,umeme, barabaran na shule)
đź“Ťvipo Karibu shule MPYA ya fantasia
đź“Ťvipo Karibu na site za kiuwekezaji kama(petrol station,garage,godown,hotel, hostel, public building.....nk
đź“Ťunaweza wekeza project yoyote na ikakulipa kama(lodge,hotel,garage, hostel, apartment..nk)
đź“Ťardhi ni nzuri hakuna makorongo Wala njia za maji(blessed land)
đź‘ŤUnaweza lipa cash
đź‘Ťunaweza lipa kwa awamu
*mhitaji Karibu sana tuwasiliane kwa namba 0757585870/au fika ofisini kwetu udom ngongonha*