Plots for sale at Makurunge, Pwani


MAKURUNGE NEW PROJECT…
Mradi upo Mita 600 tu kutoka Barabara kubwa ya lami(Bagamoyo -Msata) na Huduma za kijamii (Maji, Umeme, Barabara na Shule) zinapatikana karibu kabisa na mradi wetu.
Viwanja vyetu vinaanzia ukubwa wa 440 square meters (22x20) mpaka 1200 square meters (30x40).
Pata kiwanja kuanzia Milioni moja na laki tisa (1,900,000/=) anza na asilimia 40 kisha kiasi kinachobaki lipia Laki Mbili(200,000/=)kila mwezi.
Wasiliana nasi: 0759850993