Plots for sale at Mawasiliano, Morogoro


Viwanja Vilivyopimwa na kutambuliwa na Wizara ya Ardhi,Maendeleo ya watu na Makazi Vinauzwa Kibaha Mile Moja,mahali panaitwa Boko Timiza.
Viwanja hivi vipo umbali wa kilomita Sita toka Barabara kubwa( Morogoro Road)
Viwanja vipo karibu na Ofisi mbalimbali za Serikali kama vile DAWASA,TANESCO,TUMBI HOSPITALS,UHAMIAJI,KITUO KIPYA CHA MABASI KIBAHA,CHUO CHA AFYA KIBAHA,SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA,CCM KIBAHA na Ofisi nyingine nyingi.
Kwa Sasa Viwanja Vinauzwa Kwa Bei maalum ya Offa! Shilingi 9000/= Kwa mita Moja za Mraba unajipatia Kiwanja chako bila usumbufu wowote! Ukubwa wa Viwanja no Kuanzia 500m² Hadi 1440m²
Utaratibu wa Malipo
1,000,000/= Malipo ya Awali
Kiasi kinachobaki no kidogo kidogo ndani ya Mwaka Mmoja.
Mawasiliano
0659 972 868
0763 172 814
0758 764 040