Plots for sale at Mawasiliano, Morogoro


⭐ HII SIO YA KUKOSA KABISA⭐
🔸️jamboland_real_estate tumewaletea viwanja vizuri eneo la MLANDIZI CHEKERENI.
⭐ SIFA ZA VIWANJA VYETU.
🔸️ Viwanja vipo kilometer 9 kutoka barabara kuu ya MOROGORO.
🔸️ Matumizi ya viwanja hivi ni makazi na biashara
🔸️ Huduma muhimu zipo kama vile maji,umeme
🔸️ Viwanja vyote vimepimwa.
🔸️ Uhakika wa HATI ya wizara.
⭐ NAMNA YA MALIPO.
🔸️ Mfumo wetu wa malipo ni rafiki sana kuna njia mbili za kumiliki kiwanja kutoka jamnoland_real_estate
🔸️ Mfumo wa CASH na mfumo wa AWAMU(MKOPO). Ambapo mteja atalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 12.
⭐GHARAMA ZA KIWANJA.
🔸️ Kwa malipo ya CASH bei yake ni Tsh. 6000/= kwa mita moja mraba.
🔸️ Kwa malipo ya AWAMU bei yake ni Tsh. 8000/= mteja ataanza na kianzio cha laki tatu tu (300,000/=) kisha atalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 12.
⭐ MAWASILIANO:
📍 0677 221113
📍 0677 221115
📍 0677 221116
📍 0677 221118