Plots for sale at Mawasiliano, Morogoro


KARIBU GRANITE PROPERTY LTD KAMPUNI INAYOJIHUSISHA NA UUZAJI WA VIWANJA, NYUMBA, NA MASHAMBA
MIRADI YETU KWA SASA NI HII: ✅✅
1.GEZAULOLE BEACHPLOTS
-umbali toka ferry ni 15km
-bei kwa sqm1 ni 35,000(cash) na 40,000(installments) miezi sita
-office zetu zipo mawasiliano ubungo
-viwanja vimepimwa kuanzia sqm 700+ na kuendelea
2.BUYUNI BEACHPLOTS
-umbali toka ferry ni 50km
-bei kwa sqm1 ni 25,000
-malipo ni cash au installments kwa miezi sita
-viwanja vimepimwa kuanzia sqm 500
3.KIGAMBONI MBUTU
-umbali toka ferry ni 23km
-bei kwa sqm1 ni 15,000 cash na 17,000 kwa installment miezi sita
-viwanja vimepimwa na kupitishwa na manispaa
-vimepimwa kuanzia sqm 500 na kuendelea
-ramani ipo
4.MADALE MIVUMONI
-kiwanja kimebaki kimoja tu cha sqm 712
-bei kwa sqm1 ni 35,000
-kiwanja kimepimwa
-documents zote zipo
5.MADALE KWA KAWAWA
-mita 200 kutoka barabara kuu ya lami
-sqm1 ni tsh 40,000/- cash na 45,000/- kwa installment
-viwanja vimepimwa kuanzia sqm400 -Ramani ipo
6.MADALE MBOPO KINONDO
-kilometer 4 kutoka barabarani madale mwisho
-sqm1 ni tsh20,000/-
-unaweza kulipa kwa installment kwa bei hiyo hiyo
-viwanja vimepimwa kuanzia sqm 400
-Ramani ipo
NB:Kampuni itahakikisha unapata hati yako.
-kampuni itahakikisha mteja hakutani na changamoto yoyote
-kampuni itakupa ushauri bora kabisa wa kujenga au kuendeleza ardhi yako
Wasiliana nasi kwa:
📞📞0757822612