Plots for sale at Mawasiliano, Morogoro


MRADI MPYA KEREGE SHULE !!!
-ENEO LIPO UMBALI WA KILOMITA 1(1km) KUTOKEA BARABARA KUU
(morogoro road).
-GHARAMA: Tsh.9,000,000/=
SQM 1= Tsh.15,000
UKUBWA WA ENEO: Viwanja vyote vina ukubwa wa 600sqm (vyote bei ni Moja).
-MALIPO: MTEJA ATAHITAJIKA KULIPA ASILIMIA 50(50%) ambayo ni 4,500,000/= (4.5m)kama MALIPO NI YA AWAMU,
-MTEJA ATAHITAJIKA KUMALIZA MALIPO YALIYOBAKI NDANI YA MIEZI SITA(6).
Hili eneo lipo upande wa Bahari kwa maana ya upande wa kulia ukiwa unaelekea bagamoyo.
KEREGE ni eneo lililopo kilomita chache kutokea MAPINGA.(mbele kidogo ya mapinga)
-Eneo lipo Tambarare na limepimwa.
Kwa mawasiliano
0710214021
0758197500