Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


✅ viwanja Vinauzwaa Vipo njia ya mbezi to Goba kituo kwa Robati.
✅ Viwanja Vipo vya ukubwa tofauti, square meter 624 sawa na Mita 24 kwa Mita 26 Bei ni million 36 Maongezi yapo.
✅ Viwanja Vipo 15 sehemu moja.
Wahi ndugu mteja Eneo ni tambalale kabisa.
✅ Umbali kutoka lami ni km moja point mbili(km1.2)
✅ Service charge 20000
Piga 0719190753