Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


VIWANJA MBEZI MWISHO!!
Ni kilomita 5 tu kutoka Stendi ya Mabasi(Magufuli Bus Terminal).
Ni sehemu ambayo imejengeka sana kama unavyoona hapo kwenye picha.
Viwanja vipo kwenye barabara kuu inayowekwa lami ya kutoka Mbezi.
Daladala na bajaji zinapita muda wote.
Bei yake ni 60,000 tu kwa sqm.
Ni pazuri hapa,njoo ujenge ama kuwekeza hapa.
SITE VISIT NI KILA SIKU.
0623590196