Plots for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


Viwanja vilivyopimwa Vinauzwa Kiluvya Makurunge Kwa masister! Kiluvya katikati ya Mbezi Kibamba na Kibaha! Ukitoka Kibamba unaingia Kiluvya Kisha Kibaha....
Kiluvya Makurunge Kwa masister ni Upande kushoto kama unatokea Dar es Salaam,kufika hapa viwanja vilipo ni km8 Toka morogoro Road!
Utajipatia Kiwanja Kilichopimwa kuanzia shilingi 4,600,000/= Hadi 6,000,000/= Kwa size ya 400m² kulingana na mahali Kilipo Kiwanja.
Utaratibu wa Malipo
1,000,000/= Kishika uchumba( kifunga mbengee Kwa kichaga)
Kiasi kilichobaki unalipa kidogo kidogo ndani ya mwaka mmoja! Njoo umiliki Kiwanja chako kutoka Cananland....
Ukiona umeshindwa kupata plot kwetu,Kaa Chonjo! Upo mbioni kutapeliwa.
Ofisi Zetu: Mbezi Kwa Msuguri na Kiluvya Madukani.
Mawasiliano Zaidi
0659 972 868
0763 172 814