Plots for sale at Mbutu, Tabora
💥MILIKI SASA KIWANJA MBUTU KIGAMBONI 💥
Kama ulikuwa unajilaumu kuwa huna kiwanja Kigamboni,basi sisi Property Investors Company (PIC) tumekusogezea Fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja Kigamboni eneo la Mbutu:
▶️Viwanja vipo Kilometers 4 kutoka Maghorofa ya dege
▶️Viwanja vimepakana na mikoko Kwa wale wanaopenda mandhari ya bahari
▶️Ni viwanja vilivyopimwa Kwa matumizi ya makazi
▶️Ukubwa wa viwanja ni kuanzia SQM 400(Meter 25 Kwa 16)
▶️Bei ni kuanzia million 7.2 Kwa malipo ya kidogo kidogo,na hatimiliki kutoka wizarani inapatikana baada ya kukamilisha malipo
▶️ Wasiliana nasi tukupeleke site Kila siku ya Jumatano, Jumamos na Jumapili bila gharama yoyote ya ziada
▶️Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza, Mtaa wa Katambe jirani na shule ya msingi Ubungo plaza
▶️Tuna miradi mingine ya viwanja maeneo ya Mwembe Mdogo Kigamboni, Kerege Bagamoyo, Vigwaza Kwala,Madale Mivumoni,Bunju, Misugusugu Kibaha, Pangani Kibaha
▶️Call/SMS/Whatsapp: 0686 601716