Plots for sale at Mbweni, Dar Es Salaam


Viwanja Vinauzwa vipo viwili vimeungana
mbweni Moga opposite na hotel ya APC
Kiwanja kimoja kina ukubwa wa Sqm 1836.
Cha pili kina ukubwa wa Sqm 1706
Bei ni Milioni 450, maongezi yapo.
Gharama za kuona kiwanja shs 20,000.
Wasiliana nami kwa
0784 234 971 au
0718 809 744
Karibuni sana


















