Plots for sale at Mbweni, Dar Es Salaam


KIWANJA SQM. 9,538 (EKA 2) TSHS. BILIONI 1.6, MBWENI TETA.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
KIwanja kimezunguushiwa Fensi.
Ndani kuna Jengo ambalo hslijaisha lenye Vyumba 18.
Hapa panafaa kuweka Mradi wa kutoa huduma za kijamii kama Shule,Hospitali nk.
Mtaa mzuri na uliojengeka vilivyo.
_________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.100,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________zw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.