Plots for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MBWENI, MBWENI MALINDI

➡️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➡️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo, SWIPE LEFT UONE PICHA 📸.

➡️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➡️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➡️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➡️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

𝗕𝗘𝗜 𝗭𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗘

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 630 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 6, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 6.

𝗨𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗝𝗘𝗖𝗧 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗘 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu 𝗧𝗘𝗩𝗜 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗥𝗖𝗜𝗔𝗟 𝗣𝗔𝗥𝗞(𝗶𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗡𝗕𝗖 𝗕𝗔𝗡𝗞), 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗕𝗘𝗔𝗖𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗞𝗜 𝗕𝗢𝗩𝗨 - 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartment Zinapangishwa Mbweni Maputo Zinavyumba viwili vyakulalaBei laki-4Maji umeme unajitegemea P...

3 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Mbweni JktIna Vyumba vitatu vya kulala, Viwili ni Master, Din...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 200SQM 1600MBWENI UMILIKI - HATI SAFIContact call 07125316570789731695

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

✨ APARTMENT ZA KISASA ZINAPANGISHWA – MBWENI MPIJI (KARIBU NA APC)💰 Kodi: TSh 500,000 kwa mweziFura...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

KIWANJA KIMEOONYOOKA SAANAKIPO MBWENI MALINDI (baharini kabisa )🔥SQM 500PRICE ML 55 KIWANJA KIPO KA...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 240,000,000

PLOT FOR SALE MBWENI JKTSQM 900ML 240HATI SAFI YA WIZARA #0689138795whatsapp #0758998074👈

5 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

Nyumba inauzwa ipo Mbweni JKT, inatizama Barabara ya Lami.SQM 1,000BEI Bilioni 1.2Hati ya umiliki ip...

5 Bedrooms House for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

A Bullet Proof House For Sale Location:Mbweni Jkt Plot Size Sqm 2000Documents:Title Deeds(Ina Hati M...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

✨ APARTMENT ZA KISASA ZINAPANGISHWA – MBWENI MPIJI (KARIBU NA APC)💰 Kodi: TSh 500,000 kwa mweziFura...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

KIWANJA KINAUZWA *MBWENI ROUND ABOUT**BEI Tshs 250ml*Ukubwa SQM 1,900HATI MKONONIDAR ES ALAAM-Tz #06...

3 Bedrooms House/Apartment for sale at Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000,000

APARTMENTS FOR SALE: LOCATION: MBWENI JKT. Kuna Apartments za familia 3, zote Zina Vyumba vi3 vyote ...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

Plot for saleMbweni malindi estateSqm 900Clean title deedPrice Tsh 220 million600 hundred meters fr...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI UBUNGO———————...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

Kiwanja kinauzwa Mbweni jkt Sqm; 1,670Price; Million 250 negotiable Hati miliki ipo. Ni kizuri kwaji...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 270,000,000

PLOT FOR SALE LOCATION ▪︎▪︎ MBWENI JKT SQUARE METERS ▪︎▪︎ 1600SALE ▪︎▪︎ TSH ▪︎ 270 MILIONI FUL TITLE...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh Milion 95Sqm 850Mbweni ubungoBlock No Piga simu O745010009 au 0742707023

2 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT YA VYUMBA VIWILI𝖨𝖪𝖮 ~ 𝖣𝖠𝖱 𝖤𝖲 𝖲𝖠𝖫𝖠𝖠𝖬𝖳𝗓𝖬𝖠𝖧𝖠LI~ MBWENI UBUNGO____________...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

Kiwanja kinauzwa mbweni ubungo square meter 850 hati miliki tsh 95 milion Contact 0716805939 whatsaa...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

Plot for saleMbweni malindi estateSqm 900Clean title deedPrice Tsh 220 million600 hundred meters fr...

Plot for sale at Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 95,000,000

Plot for saleMbweni ubungoSqm 850Clean title deedPrice Tsh 95 millionContact 0625584914