Plots for sale at Mipeko, Pwani


Karibuni viwanja vya makazi vipo vinauzwa mbande mipeko sehemu ni tambarale pia viwanja vyote vina barabara za mitaa ukitaka kufika mbande kama unatokea mjini panda gari k/koo mbande magengeni ukifika nakupokea nakupeleka saiti bodaboda buku bajaji jero hadi saiti
Ukubwa wa kiwanja ni sawa utofauti ni bei tu kulingana na umbari wa saiti na uduma ya umeme
Futi 40 kwa 50=Laki 9
Futi 40 kwa 50=Milioni 1,2
Futi 40 kwa 50=Milioni 1,5
Futi 40 kwa 50=Milioni 1,7
Futi 40 kwa 50=Milioni 2
Uduma zote za kijamii zipo
Barabara
Maji
Shule
Umeme
Hospital
Njoo uone ukipenda biashara inafanyika chini ya serikari ya mtaa usika hati unapewa pia malipo unaweza kulipia kwa hawamu(kidogo kidogo)Mawasiliano 0688703762