Plots for sale at Mjini, Ruvuma







MRADI MPYA WA VIWANJA KISEMVULE MJINI.
Usiteseke Kutafuta Viwanja vya MJINI. Njoo kwetu Chagile Real Estate.
Bei ni Million tano na laki nane Tu 5.8M tu vya makazi na vya biashara ni 7 millioni TU.
Piga/WhatsApp
0654 77 39 67
0752 74 47 81
▶️Viwanja vinapatikana KISEMVULE MJINI KABISA karibu kabisa na MBAGALA RANGA 3.
..
➡️Ni Viwanja Vizuri Na mji uliopangiliwa kisasa zaidi, viwanja vimepimwa ni tambarare na vimezunguka na huduma muhimu za kijamii, kama hospitali, shule za serikali , maji, umeme, vituo vya polisi na usafiri wa bajaji na bodaboda Tu.
..
▶️Ni MITA 900 TU kutoka LAMI usafiri NI wa Bajaj TSh 500/= na bodaboda ni TSh 1000/= paka kwenye mradi wetu.
..
➡️Ukubwa wa Viwanja vyetu.(sqm 200 ,400,600,1000)
Futi 40X50 SQM 200 Bei tsh 5.8 million
Futi 80X50 SQM 400 Bei tsh 11.6million.
Futi 120X100 SQM 800 Bei tsh 23.2 million.
..
Unauwezo wa kuonganisha viwanja viwili, vinne kulinganaa na kipato chako na ukubwa unaoitajia.
..
Utaratibu wa kulipia unaweza lipia kwa awamu au cash, malipo kwa awamu utaanza 50% hadi 70 %million tatu tu (TSh 3,000,000/=) kiasi kinachobakia utalipia ndani ya miezi 3 hadi 4
Usafiri wa kufika hapa KISEMVULE kutoka Kariakoo, Posta, Tandika, Temeke ni uhakika muda wote unapanda gari moja tu kutoka maeneo hayo.
NB. Karibu kuona viwanja kila siku tupo kuanzia saa 2 asubuhi paka 10 jioni.
Ofisi zetu zipo VIKINDU
Safari hii ushindwe ww tu kujenga na Chagile Real Estate.
Ardhi ni hazina na fainali ni uzeeni kijana mwenzangu.