Plots for sale at Mjini, Ruvuma

 media -1
media -1
Sh. 1,300,000
Project
Yes

OFA YETU BADO INAENDELEA. BEI NI MILIONI 1.3.
0742 909 861

 Viwanja vinapatikana KISEMVULE MJINI, Karibu Sana na MBAGALA RANGI 3.

 Ni Viwanja vizuri na mji uliopangiliwa kisasa kabisa, viwanja ni tambarale, vikiwa vimezungukwa na huduma muhimu kama Maji,umeme na shule binafsi na shule za Serikali, Hospitali na Usafiri wa bajaji n.k

 Ni KM 3 tokea KISEMVULE STAND ( Usafiri wa Bajaji Mia Saba na Pikipiki Elfu Moja Tu mpaka kwenye mradi wetu ).

 Ukubwa wa Viwanja ni Futi

Futi SQM 300 Milioni 1.3

Futi SQM 600 Milioni 2.6

Futi SQM 1200 Milioni 5.2 na kueendelea

Unauwezo wa kuunganisha viwanja viwili, vinne na kuendelea kulingana na kipato chako.

Utaratibu wa kulipa kwa awam upo, unaweza kuanza na Laki Tisa Kisha inayobaki utapewa miezi 3.

Usafiri wa kufika Kutoka Kisemvule ni uhakika muda wote, Unapanda gari moja tokea Kariakoo, Temeke, Kivukoni, Kigamboni, Mbagala n.k

NB : Karibu kuona kwani Usafiri ni Bureee!.

Yaani Ushindwe wewe tu kujenga

Wote mnakaribishwa

" Ardhi ni Mali "

Piga 0742 909 861

Viwanja Bei Rahisi Dar es salaam
kismatiproperty
Viwanja Bei Rahisi Dar es salaam

Similar items by location

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 18,000,000

KIWANJA KINAUZWA MICHESE JIRANI KABISA NA ITEGA YA MAGOROFA 👉SQM 560 👉BLOCK ZA 👉bei 18milion 👉do...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 30,000,000

KIWANJA KINAUZWA DODOMA MJINI 📍Mahali - *NJEDENGWA*Ukubwa - Square meter 732Bei - *Million 30*

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 30,000,000

KIWANJA KINAUZWA DODOMA MJINI 📍Mahali - *MKALAMA*Ukubwa - Square meter 800 Documents - *HATI*✅Bei ...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 28,000,000

KIWANJA KINAUZWA DODOMA MJINI 📍Mahali - *MKALAMA*Ukubwa - Square meter 920 Documents - *HATI*✅Bei ...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 35,000,000

ĶIWANJA KINA FENSI KOTE KINAUZWA ILAZO EXTENSION BLOCK "E" JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 450 sq.mKina ...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 700,000,000

KIWANJA KIKUBWA NA KIZURI KINAUZWA__________________MAHALI-MEDELI MJINI KABISAJIRANI NA SHOPPERZ PLA...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 8,000,000

VIWANJA VINAUZWA DODOMA MJINI MBWANGA VIKO VIWILI✅Ukubwa qmt 600+600✅Document servey form✅Huduma zot...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 100,000

KIWANJA CHA BIASHARANA NA MAKAZI,6,303, TSHS.700 MIKIONI, MOSHI MJINI.Hili eneo linaangalia Barabara...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 1,000,000,000

FOR SALEMJINI CHANIKAAPLOT SIZE 2400SQMKUNA PUMP 3 /6PRICE TZS 1BCALL #07444009988

Plot for sale at Mjini, Ruvuma
  • By Installment

Sh. 1,700,000,000

KIWANJA KIMEGUSA LAMIUNAWEZA LIPA KWA AWAMU 02MORENA-SHOPPERZ/AFRICAB/RAFIKI HOTEL _________________...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma
  • By Installment

Sh. 1,700,000,000

KIWANJA KIMEGUSA LAMIUNAWEZA LIPA KWA AWAMU 02MORENA-SHOPPERZ/AFRICAB/RAFIKI HOTEL _________________...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 450,000

IPO WAZI SASA MPANGAJI KASHAHAMA.--------------------APARTMENT INAPANGISHWA IPO #KIMARA_MWISHO #UMBA...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 1,700,000,000

KIWANJA KINAUZWA SHOPPERZ PLAZA JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 4,832 sq.mKina HATIEneo limejengekaKipo ...

3 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 35,000,000

NYUMBA BORA NA NZURI INAUZWA MICHESE BLOCK " ZE" JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 624 sq.mIna vyumba vita...

House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 98,000,000

APPARTMENTS ZINAUZWA MAENEO YA MJINI______MAHALI-CHADURU (MTAA OPPOSITE NA MORENA HOTEL MJINI KATI)_...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 120,000

LUX SMART PROPERTIES INAKULETEA BIG SALES OFFER YA KUFUNGA MWAKA NA KUFUNGUA MWAKA KILA MTU AMILIKI...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 120,000

LUX SMART PROPERTIES INAKULETEA BIG SALES OFFER YA KUFUNGA MWAKA NA KUFUNGUA MWAKA KILA MTU AMILIKI...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 1,700,000,000

VIWANJA VINAUZWA MJINIMEDELI _________________________UKUBWA WA VIWANJA -4434Sqm KIMEGUSA LAMI (BEI-...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 1,700,000,000

VIWANJA VINAUZWA MJINIMEDELI _________________________UKUBWA WA VIWANJA -4434Sqm KIMEGUSA LAMI (BEI-...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 1,700,000,000

VIWANJA VINAUZWA MJINIMEDELI _________________________UKUBWA WA VIWANJA -4434Sqm KIMEGUSA LAMI (BEI-...