Plots for sale at Mjini, Ruvuma

 media -1
media -1
Sh. 1,307,152.602
Project
Yes

VIWANJA VINAUZWA BEI NI MILIONI 1.3, 0715 260 200

 Viwanja vinapatikana KISEMVULE MJINI, Karibu Sana na MBAGALA RANGI 3.

 Ni Viwanja vizuri na mji uliopangiliwa kisasa kabisa, viwanja ni tambarale, vikiwa vimezungukwa na huduma muhimu kama Maji,umeme na shule binafsi na shule za Serikali, Hospitali na Usafiri wa bajaji n.k

 Ni KM 3 tokea KISEMVULE STAND ( Usafiri wa Bajaji Mia Saba na Pikipiki Elfu Moja Tu mpaka kwenye mradi wetu ).

 Ukubwa wa Viwanja ni Futi

Futi SQM 300 Milioni 1.3

Futi SQM 600 Milioni 2.6

Futi SQM 1200 Milioni 5.2 na kueendelea

Unauwezo wa kuunganisha viwanja viwili, vinne na kuendelea kulingana na kipato chako.

Utaratibu wa kulipa kwa awam upo, unaweza kuanza na Laki Tisa Kisha inayobaki utapewa miezi 3.

Usafiri wa kufika Kutoka Kisemvule ni uhakika muda wote, Unapanda gari moja tokea Kariakoo, Temeke, Kivukoni, Kigamboni, Mbagala n.k

NB : Karibu kuona kwani Usafiri ni Bureee!.

Yaani Ushindwe wewe tu kujenga

Wote mnakaribishwa

" Ardhi ni Mali "

Piga 0715 260 200.

Viwanja Bei Rahisi Dar es salaam
kismatiproperty
Viwanja Bei Rahisi Dar es salaam

Similar items by location

House for Rent at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 15,000,000

Nauza Viwanja Vizuri Sana Dodoma Mjini Karibu Na Chuoo Kikuu Cha Dodoma 👉 Square Meter 579 & 517 [ ...

House/Apartment for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 550,000

INAPANGISHWA NYUMBA 550,000 NYUMBAII KALI SANAA KODI ANAPOKEA MYEZI SITA VYUMBA VIWIRI VYOTE MASTA C...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • By Installment
  • Project

Sh. 80,000

Njoo umiliki kiwanja kwa Tsh.50,000 tu mjini Mkuranga , Ujanja ni kuwahi tu tajiriViwanja vyetu vina...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 8,700,000

ENEO LINAUZWA NZINJE MICHESE DODOMA.👉12km kutoka mjini na 4km kutoka zinapoishia daladala.👉Lina uk...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 3,500,000

Vipi kama utamiliki kiwanja Dodoma Mjini?? Eneo la mradi:Nghong’onha(UDOM)📌Km 9 kutoka Dodoma mjini...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • By Installment
  • Project

Sh. 80,000

TWENZETU SITE KESHO: NAULI NI TSH.10,000 TUNjoo umiliki kiwanja kwa Tsh.50,000 tu mjini Mkuranga taj...

2 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 8,000,000

MJINI KATI MWANZANYUMBA INAPANGISHWA VYUMBA VIWILI VYA KULALA ((SELF 1))SEBURE KUBWAJIKOP.TOILETBEI ...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 17,500,000

KIWANJA KINAUZWA SWASWA DODOMA.👉8km kutoka mjini na mita 500 kutoka lami ya kwenda mpamaa.👉 Kiwanj...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 120,000

LUX SMART PROPERTIES INAKULETEA BIG SALES OFFER KILA MTU AMILIKI KIWANJA KILICHOPIMWA MILIKI KIWANJ...

2 Bedrooms House for Rent at Mjini, Ruvuma

Sh. 8,000,000

MJINI KATI MWANZANYUMBA INAPANGISHWA VYUMBA VIWILI VYA KULALA ((SELF 1))SEBURE KUBWAJIKOP.TOILETBEI ...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 18,000,000

KIWANJA KINAUZWA MAKULU CENTRE JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 400 sq.mJirani na mjiniKinafaa kwa MAKAZI...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 12,000,000

KIWANJA KIZURI MJINI KINAUZWA____________________________MAHALI —KITELELA INATIONAL AIRPORT ________...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 74,000,000

KIWANJA KINAUZWA DODOMA MJINI 📍Mahali - *KIKUYU EXTENSION* Jirani na *Station ya SGR*Ukubwa - Squar...

4 Bedrooms House for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 130,000,000

👉NYUMBA NZURII INAUZWA MAHUNGU DODOMA MJINI (SINGIDA ROAD)👉INA vyumba 4-1 master,sebule,dinning,ji...

Farms for sale at Mjini, Ruvuma
  • Agriculture
  • Project

Sh. 6,600,000

SHAMBA LINAUZWA CHINANGALI II DODOMA.👉47km kutoka mjini na 1km kutoka lami. Ni jirani sana na eneo ...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 17,000,000

Vyote vipo full Document (hati) price kila kimoja kinataka 17M, 6Km hadi mjini katiMaongezi yapo kid...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • By Installment
  • Project

Sh. 2,040,000

*MRADI MKUBWA WA VIWANJA UDOM NGHONGONHA*1.300sqm bei 2,040,000*Kila mwezi 340,000👆*2.587sqm bei 3,...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • By Installment
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

Wajanja wananunua viwanja 📌📌Lipa kidogo kidogo kwa miezi 6Eneo la mradi:Ghong’onha(UDOM)📌Km 9 kut...

Plots for sale at Mjini, Ruvuma
  • Project

Sh. 8,000 per sqm

Vipi kama utamiliki kiwanja Dodoma Mjini?? Eneo la mradi:Ghong’onha(UDOM)📌Km 9 kutoka Dodoma mjini�...

Plot for sale at Mjini, Ruvuma

Sh. 11,000,000

KIWANJA KIZURI MJINI KINAUZWA____________________________MAHALI —MTUMBA PAKALI SANA_________________...