Plots for sale at Msalato, Dodoma
TUNA VIWANJA ENEO HILI LA MSALATO KARIBU NA UWANJA WA NDEGE NA VIWANJA VYA BIASHARA VYA KWANZA RING ROAD
MAKAZI BIASHARA BEI KWA SQM 1=6500/
MAKAZI PEKEE BEI KWA KILA SQM 1= 5000/
VIWANJA VYA BIASHARA PEKEE VINAVYO TAZAMA BARABARA YA MZUNGUKO YANI RING ROAD BEI YA KILA SQM 1= 15000/
GHARAMA HIZI NI PAMOJA NA GHARAMA ZA KUANDAA HATI
UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITATU ADI MIEZI SITA