Plots for sale at Msalato, Dodoma
Mradi Mpya wa Viwanja MSALATO KITELELA
Eneo la Kitelela ni eneo la kimkakati hapa Dodoma , ni eneo linalozungukwa na Barabara ya Mzunguko (Ring Road) , lakini pia ni eneo linaloibeba AirPort ya Dodoma (Mpya na ya Kimataifa)
Ni jirani kabisa na Mji wa serikali na Pia kilomita chache kutoka stand Kuu
Good news , Viwanja bado vipo na kwa kiasi cha 3.5M na malipo kwa awamu unapata eneo lililopopimwa na HATI YAKO
Call : 0712376898/ 078661104