Plots for sale at Mtumba, Dodoma
Jumanne ya leo twende Mji wa Serikali. Hapa infinity_real_estate_dodoma tunaendelea kukupa kile unachostahili katika kuwekeza kwenye ardhi. Karibu uwekeze Mji wa serikali (Mtumba ) huku ukilipa kidogo kidogo.
SIFA ZA VIWANJA
▫️Ni Kilometa moja kutoka Wizara zote zilipojengwa na
▫️Kilometa Nne Kutoka Ikulu ya Dodoma
▫️Barabara za Lami Zimefika Jirani na Site
▫️Unaweza Kulipa kwa Mkopo Mpaka Miezi Sita
▫️Bei ni 15,000/=kwa Sqm Moja Hii ni Mpaka Hati Kwenda kuona ni Bure
▫️Viwanja vya Makazi na Biashara
Kwa mawasiliano: 0767865054 au 0655591155 Ofisi zetu zipo barabara ya 9, Jaamal street nyuma ya Mackay house.