Plots for sale at Mtumba, Dodoma


TUNAUZA VIWANJA MTUMBA (karibu na magufuli city)
Upitia njia inayotoka ihumwa kwenda kikombo-TAEC-Bunge secondary-JWTZ HQ au unaweza kuingilia pia mtumba stendi mkono wa kulia ukiwa unaelekea dar unavuka korongo ng’ambo ya pili Au unaweza kupitia ring road(barabara ya mzunguko) kukwepa korongo na kuufikia mradi wetu
KITALU :- DB
VIWANJA VILIVYOPO
~SQM 3,000~bei 25,000,000/=
~SQM 2,149~bei 22,000,000/=
~SQM 623~bei 6,500,000/=
~SQM 600~bei 6,000,000/=
~SQM 600~bei 6,000,000/=
Malipo unaweza kulipia awamu mbili tu ndani ya miezi miwili kwa kuanza na nusu!
Mawasiliano
+255(0)628891445
+255(0)755690265
#estatedodoma
#dodomacity
#dalalidodomajiji
#magufulicity