Plots for sale at Mwananyamala, Dar Es Salaam


CHALINZE (PINGO)
-Bei ya Mradi ni Tsh.800,000 tu
-Lipia cash upate punguzo la 10%
-Lipia kidogo kidogo (Installments) Tsh. 67,000 tu kila mwezi
-Lipia kwa miezi 12 (yani mwaka mzima)
Mradi ni handsome sana na upo na huduma zote za kijamii
-Maji
-Umeme
-Barabara zimechongwa
Chakuzingatia ukinunua kwetu kiwanaja unapata na Hati yako
#KIWANJA NI HATI
NB:Kila jumamosi tunakwenda site,hakikisha unaweka booking yako mapema,Nauli ya kwenda site ni Tsh.12,000 tu
Yani kwenda na kurudi.
Kwa maelezo zaidi Tupigie simu:
☎️ 0699543621
Au fika ofisini kwetu MWANANYAMALA "A" jengo la Vijana house ghorofa ya tatu (3)
KARIBUNI SANA