Plots for sale at Nala, Dodoma
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F1c60f1aa-8108-45b3-992d-e38ece01a059.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2F1c60f1aa-8108-45b3-992d-e38ece01a059.jpg&w=256&q=75)
FURSA...!! HAPA NI NALA MIZANI JIJINI DODOMA
Kuna viwanja 14 vinauzwa, vina ukubwa wa 580 sq.m
Vipo mita 500 kutoka LAMI/ Singida road
Miundombinu na huduma zote za kijamii zipo
Viwanja vimepimwa na vina nyaraka zote za kiserikali
Vinafaa Kwa MAKAZI au BIASHARA
BEI ni Tshs. 60,000,000/= ( milioni sitini tu) VIWANJA VYOTE
Mawasiliano;
Call # 0682 193494
Whatsapp # 0712 184854