Plots for sale at Ntyuka, Dodoma
Karibu Dodoma mjini , viwanja vizuri vinapatikana
Sifa za viwanja
✔Viwanja vipo karibu sana na Dodoma mjini
✔Km 5 kutoka Dodoma kati
✔Km 1 kutoka stesheni ya SGR
✔viwanja vyote vimepimwa na vina hati
✔Eneo ni tambalale linafaa sana kwa ujenzi
✔Viwanja vipo karibu na hospital ya DCMC Ntyuka
✔Viwanja vya makazi na biashara
✔Ukubwa wa viwanja kuanzia sqm 400,500,600,700,1000 na zaidi
✔Miundombinu Kama vile maji, umeme na barabara vimefika hadi site
✔Bei kuanzia mil 9.5 ,malipo kwa Cash na awamu pia
✔Kwenda site kuona viwanja ni buree kabisa
Mawasiliano : 0768 333 054