Plots for sale at Ntyuka, Dodoma


Viwanja Vizuri Vipo Dodoma mjini -Ntyuka
Karibu kabisa na lami hii inayojengwa kuelekea mvumi-Mkandarasi yupo site 24/7๐ฅ๐ฅ๐ฅ
๐Km 9 kutoka Dodoma mjini
๐Karibu na lami iendayo Mvumi
๐Karibu na barabara ya mzunguko (ring road)
๐Karibu sana na Udom
๐Viwanja vimepimwa na vina documents
๐Barabara,maji na umeme vipo site
๐Vinafa kwa makazi na biashara
๐Malipo kwa cash na awamu
Bei kwa sqm 1 kwa malipo ya cash Tsh 8000 na malipo ya Awamu Tsh 10000( kwa miezi 6)
Kwenda site ni bure na kila siku
Mawasiliano:0768 333 054