Plots for sale at Ntyuka, Dodoma


Viwanja Vinauzwa Dodoma mjini
Eneo:Chidachi Ntyuka
Sifa za viwanja
đź“ŚViwanja vimepimwa na vina Hati
đź“ŚViwanja havina migogoro
đź“ŚVipo karibu sana na Dodoma mjini,km 5
đź“ŚKaribu na stesheni ya kisasa SGR
đź“ŚUmeme,maji na barabara vimefika
đź“ŚViwanja ni kwa makazi na biashara
Sqm 562 bei mil 13
Sqm 549 bei mil 13
Sqm 539 bei mil 13
Sqm 600 bei mil 14.5
Sqm 1065 bei mil 26
Sqm 1107 bei mil 26
đź“ŚMalipo ni cash na kwa awamu
đź“ŚKwenda site ni bure na kila siku
Mawasiliano: 0768 333 054