Plots for sale at Ntyuka, Dodoma


Viwanja vinauzwa Dodoma mjini karibu na Kituo cha stesheni SGR- Dodoma( Chidachi Ntyuka)
Sifa za viwanja hivi
đź“ŚVipo km 1 kutoka Sgr
đź“ŚKm 5 kutoka Dodoma mjini
đź“ŚKaribu na hospital ya Dcmc
đź“ŚKaribu na kitakapojengwa chuo cha Mwl Nyerere Memorial
đź“ŚViwanja vimepimwa
đź“ŚViwanja vina hati
đź“ŚViwanja havina migogoro
đź“ŚUkubwa ni sqm 400 hadi 1000
đź“ŚVinafaa kwa makazi na biashara
đź“ŚHuduma zote za kijamii zipo kama vile maji, umeme, barabara, shule, hospitali n.k
đź“ŚBei kuanzia mil 9.5 kulingana na ukubwa wa kiwanja ( malipo ni kwa awamu 3)
đź“ŚHuduma ya kwenda site ni bure na kila siku
Mawasiliano : 0768 333 054